KUHUSU SISI

Moxera Agencies

Moxera Agencies ni platform ya kidijitali iliyoanzishwa kuwasaidia Watanzania kuingiza kipato kwa kutumia simu ya mkononi, kwa mtaji mdogo na muda wao wenyewe. Tunaamini kila mtu anapaswa kupata fursa ya kujitegemea kiuchumi.

Usajili Rahisi

Unahitaji jina, namba ya simu na neno la siri. Dakika mbili tu na akaunti yako iko tayari.

Malipo Ya Uhakika

Malipo yanatumwa kwenye simu yako kupitia M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas na Halopesa.

Mafunzo Ya Bure

Kila mwanachama anapata mwongozo wa hatua kwa hatua wa kufanya kazi mtandaoni.

Msaada Wa Timu

Timu yetu inapatikana kila siku kukusaidia kwenye WhatsApp na SMS.

JISAJILI HAPA